Nyimbo za Tenzi za Rohoni

Nyimbo 161 kutoka Kwenye Kitabu Cha Tenzi Za Rohoni
Multi Continental LCC
Download Nyimbo za Tenzi za Rohoni APK
Version 1.0
Updated on 2024-06-14
Rating 4
Category Music&Audio
Package name com.kakaz.tenzizarohoni
Downloads 5+
Nyimbo za Tenzi za Rohoni Description
Kaa karibu na uwepo wa Mungu kwa kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizopo katika kitabu cha Tenzi za rohoni kupitia app hii.

Tenzi za Rohoni ni App ambayo ni rasilimali muhimu kwa waumini wa Kikristo wanaotumia lugha ya Kiswahili, ikirahisisha upatikanaji wa nyimbo za injili mahali popote na wakati wowote.

"Tenzi za Rohoni" ni programu ya simu ambayo imeundwa kwa lengo la kusaidia watu kusoma na kushiriki nyimbo za Kikristo za Kiswahili, maarufu kama "tenzi." App hii inakuja na maktaba kubwa ya nyimbo 161 za injili ambazo zinaweza kusikilizwa au kusomwa kwa kusudi la ibada, mafundisho, au kuabudu.

Karibu uabudu nasi kupitia programu ya Tenzi za rohoni kila wakati hata bila kuwa na Mb , ipakua sasa ili uanze kuitumia pia usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki waipakue.

Open up
Download APK for Android
Currently, Nyimbo za Tenzi za Rohoni APK download is not available. Please proceed to download from the Google Play Store.
Google Play
Get from Play Store
1. Click "Get from Play Store
2. Download Nyimbo za Tenzi za Rohoni from the Play Store
3. Launch and enjoy Nyimbo za Tenzi za Rohoni
Nyimbo za Tenzi za Rohoni APK FAQ

Is Nyimbo za Tenzi za Rohoni safe for my device?

Open up

What is an XAPK file, and what should I do if the Nyimbo za Tenzi za Rohoni I downloaded is an XAPK file?

Open up

Can I play Nyimbo za Tenzi za Rohoni on my computer?

Open up

Search Recommendation