Kisa cha miraji Description
Kisa cha miraji : Israa ni ile safari ya Bwana Mtume Muhammad – Rehema na Amani zimshukie, kutoka mji mtukufu wa Makkah usiku mpaka Baaytul-Maqdisi na kuelekea Mbinguni.
App hii ya kisa cha israa na miraji imebeba mawaidha ya kiisalm juu ya safari nzima ya usiku ya Bwana Mtume Muhammad S.a.w
App hii ya kisa cha israa na miraji imebeba mawaidha ya kiisalm juu ya safari nzima ya usiku ya Bwana Mtume Muhammad S.a.w
Open up