Tenzi za Rohoni mpya 161

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.
Londo Apps
Download Tenzi za Rohoni mpya 161 APK
Version 3.0.5
Updated on 2023-09-26
Rating 4.9
Category Books&Reference
Package name tz.co.hymns.tenzizarohoni
Downloads 100+
Tenzi za Rohoni mpya 161 Description
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Tenzi za Rohoni app ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Imba kufuata ala za nyimbo ambazo unaweza kusikiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Open up
Download APK for Android
Currently, Tenzi za Rohoni mpya 161 APK download is not available. Please proceed to download from the Google Play Store.
Google Play
Get from Play Store
1. Click "Get from Play Store
2. Download Tenzi za Rohoni mpya 161 from the Play Store
3. Launch and enjoy Tenzi za Rohoni mpya 161
Comments about Tenzi za Rohoni mpya 161 Android Version
Nice and good App, easy to use, easy to learn songs for the background instruments help to flow in. Good work may God of heaven's Blessings be upon you. I love it.
BEST GOSPEL SONGS APP EVER I like it the most...... it's piano audio teaches, reminds and directs me to the proper song melody.
You can even learn by your self, since there's a tone buit for each song. It's a fantastic App 🔥
Tenzi za Rohoni mpya 161 APK FAQ

Is Tenzi za Rohoni mpya 161 safe for my device?

Open up

What is an XAPK file, and what should I do if the Tenzi za Rohoni mpya 161 I downloaded is an XAPK file?

Open up

Can I play Tenzi za Rohoni mpya 161 on my computer?

Open up

Search Recommendation